Gazeti la Kingo ni mashuhuri kwa katuni zake zinazogusa maisha ya kila siku ya 'Uswahilini' ya 'walalahoi', na hata yale ya 'wenye nchi'. Kliki kwenye linki hizi hapa chini ili uweze kuona 'Katuni za Uswahilini' za Kingo! Raha ya nyumba 'ya Kizungu' Uswahilini Ukitaka kuwaweza Machinga wa Mtaa wa Kongo!! 'Si kama zamani... vitu tele madukani!!' Mswahili anapoamua 'kumenteni figa' Walipoulizwa kuhusu mkorogo... Wengine tena walipoulizwa kuhusu mkorogo... Katuni zote kwa hisani ya GABA Limited. Gazeti la Kingo hutolewa na GABA
Limited. Rudi
ku-nyumba: chumvi mtembezi |
|||
Ó 1997 - 2000 Chumvi Mtembezi |
|||