Chumvi Mtembezi

Kiswahili Slang Dictionary
('Kamusi ya Kiswahili cha Mtaani')

Word Meaning Literal Meaning Other 'street' synonym Use instead Widely known Example Sentence
Bongo Tanzania, Tanganyika, Dar es Salaam brain Bongoland Tanzania, Tanganyika, Dar es Salaam TRUE Ili uweze kuishi Bongoland, lazima uwe na miradi.
changudoa young prostitute a specie of fish CD kahaba TRUE Machangudoa wanakabiliwa na hatari ya UKIMWI.
chuna extort money skin (someone) chanja toza TRUE Wanachojua watoto wa mjini ni kuwachuna wote wanaozubaa.
Dizim Dar es Salaam DSM Bongo Dar TRUE Kila mtu anatamani japo kufika tu Dizim.
kitimoto pork hot seat mkuu wa meza nyama ya nguruwe TRUE Siku hiyo kila mtu alipika kitimoto.
kitu kidogo bribe something little chauchau, chai rushwa, hongo TRUE Kitu kidogo kinasababisha huduma duni za jamii.
lupango prison   selo jela TRUE Kwenda Lupango ni sawa na kuhukumiwa kifo.
majuu 'up' abroad mamtoni, kwa mama ng'ambo TRUE Tangu achaguliwe anaenda majuu kama Kariakoo.
matanuzi extravagance 'extension'   matumizi TRUE matanuzi yana gharama kubwa.
mguu wa kuku pistol a hen's leg chuma bastola TRUE Mtu mwenye pesa sasa anaweza kujipatia 'mguu wa kuku' dukani.
mwanga (pl. wanga) witch light gagula mchawi, mshirikina TRUE Alipomkuta kaburini usiku, alimhisi kuwa ni mwanga.
ngurumbili human being     mtu, binadamu FALSE Huwezi kumdhibiti ngurumbili
njagu (pl. manjagu) police officer   mwela, njago polisi, askari TRUE Kinachotukera ni mtindo wa yule njago kukamata watu ovyo.
sirikali government 'hot secret'   Serikali TRUE Sirikali nyingi za Afrika hazizingatii haki za binadamu.
ukapa economic depression, lack of money, lack of purchasing power   kuwamba, kuwaka, kuchalala Ukata TRUE  Ukapa mwaka huu utatuua! Hata dawa za homa tu hatumudu kununua!
ulabu any local brew   udirinki, mataputapu, 'taps' Pombe ya kienyeji TRUE Baada ya kupata ulabu, alianza kufanya mambo ya ajizi.
ung'eng'e English language   Kimombo Kiingereza TRUE Anayeongea ung'eng'e huonwa msomi.
ngangari stable, unswerving   ngunguri thabiti, imara TRUE Baada ya wao kuwa ngangari, manjagu wakawa ngunguri.
kasheshe mayhem, furore   kosovo, zohali, sheshe vurumai, vurugu TRUE Maandamo yalileta kasheshe kubwa!
kideo 1. Video
2. gazing-stock
One Video   1. Video
2. Kituko
TRUE hakujua alikuwa anaonekana kideo.
Bushi Rural area Bush Usweken Kijijini / Vijijini TRUE Alivyo utafikiri katoka Bushi jana!
Gogo Passenger train a tribe in central Tanzania   garimoshi, treni TRUE Enzi zetu tulikuwa tunapanda gogo bure
mnoko Someone 'too' strict   mkuda, mnaa, kinaa mwadilifu TRUE Amekuwa mwalimu wa nidhamu kutokana na kuwa mnoko.

noma

embarassment, scandal

 

skendo

Kadhia, Kashfa

TRUE

Ikawa noma kweli alipokamatwa

Maimuna

S/he who cannot speak or understand a language or a specific knowledge

A female name

 

Hafahamu, maamuma

TRUE

Walimwita 'Maimuna' kwa vile tu eti alishindwa kuongea Kiingereza!

Kihiyo (pl. Vihiyo)

A person who is supposed to be an expert, but actually is not trully qualified.

A male name

 

Asiye na sifa

TRUE

Vihiyo Bongoland wako kila mahali.

Dala (n)

Five

Dollar

Gwala Tano TRUE Mchezaji wao namba Dala aliwasaidia sana wasifungwe.
=bomu (v) To beg from some one, especially money. bomb -piga mzinga -omba TRUE Walevi wa madawa ya kulevya hawaoni haya kumbomu kila mtu

Mzungu wa Unga (n)

Drug dealer

"A white person with flour"

Zungu la Unga

Muuza madawa ya kulevya

TRUE Wanaokamatwa mara nyingi ni watumiaji wadogo, na si wazungu wa unga.
             

 

Citation: Mtembezi, Chumvi. 2000. Kiswahili Slang Dictionary. Chumvi Mtembezi, Dar es Salaam, Tanzania. URL: https://chumvi.tripod.com/Kiswahili_slang_dictionary.html. Version 0.7Alpha. Last updated: December 15, 2000.

(C) 2000 Chumvi Mtembezi. All rights reserved.
Click here to post me a message.

Disclaimer: you use this website at your own risk.
Naruka: unatumia mtandowanja huu kwa hatari yako mwenyewe.

Rudi Kunyumba (home): Chumvi Mtembezi